Faida za kucheza na mstari wa juu katika soka??

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
1: Opponents wanakuwa mbali na goli lako
2: Easier to counterpress ukipoteza mali
3: Easier to sustain pressure coz the distance btn ur players ni ndogo , short distance kwa passing options
4:Opposition hawapati nafasi ya kuwa na settled passing sequence kuanzisha C/attack
 
  • Like
Reactions: McRay and jamal

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Keeping the attacker’s as far as possible away from the goal. Ukiipita still as a striker unakuwa na large distance to run with the ball kabla hujamfikia kipa au wkt unafanya movements behind..
Enhance counter pressing. Minimum time to recover the ball when lost.
 
  • Like
Reactions: McRay

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Jitoe kwa mashambulio mengi ambayo hutengeneza nafasi nyingi kwa wakimbiaji na kusaidia kutengeneza wachezaji wanaofunga mabao, kupachika timu nyingine na kupunguza muda wao kwenye mpira kwa kuwakandamiza kuanzia mbele lakini ni hatari sana unapocheza dhidi ya wajuzi wenye kasi.