Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Fei kasharudi kambini.!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Feitoto kuzikutanisha Yanga na Azam leo usiku

Mechi tatu za ligi kuu ya Kandanda Tanzania bara zinachezwa leo katika viwanja tofauti.

Moja ya mechi yenye mvuto na ushindani ni kati ya mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Azam FC.

Yanga na Azam, ukiachia ushindani wao wa uwanjani, pia wapo katika vita juu ya sakata la kiungo Faisal Salum ( Feitoto) ambapo pande zote zinavutana juu ya usajili wake.

Azam inadaiwa kumsajili mchezaji huyo ambaye pia Yanga inadai kuendelea kuwa na mkataba naye.

Tayari mchezaji ameripotiwa kuripoti katika kambi ya Yanga.

Mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa mbili usiku.

Katika mchezo uliopita, timu hizo zilitoka sare ya 2-2 baada ya Feitoto kuisawazishia Yanga mara mbili na kunusuru alama moja.

Ratiba ya mechi nyingine za leo ni kama ifuatavyo:

16:00 || Mbeya City vs Tanzania Prisons

18:15 || Kagera Sugar vs Geita Gold FC[ATTACH=full]931[/ATTACH]

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2480, member: 572"] Feitoto kuzikutanisha Yanga na Azam leo usiku Mechi tatu za ligi kuu ya Kandanda Tanzania bara zinachezwa leo katika viwanja tofauti. Moja ya mechi yenye mvuto na ushindani ni kati ya mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Azam FC. Yanga na Azam, ukiachia ushindani wao wa uwanjani, pia wapo katika vita juu ya sakata la kiungo Faisal Salum ( Feitoto) ambapo pande zote zinavutana juu ya usajili wake. Azam inadaiwa kumsajili mchezaji huyo ambaye pia Yanga inadai kuendelea kuwa na mkataba naye. Tayari mchezaji ameripotiwa kuripoti katika kambi ya Yanga. Mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa mbili usiku. Katika mchezo uliopita, timu hizo zilitoka sare ya 2-2 baada ya Feitoto kuisawazishia Yanga mara mbili na kunusuru alama moja. Ratiba ya mechi nyingine za leo ni kama ifuatavyo: 16:00 || Mbeya City vs Tanzania Prisons 18:15 || Kagera Sugar vs Geita Gold FC[ATTACH type="full"]931[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Fei kasharudi kambini.!
Top
Bottom