Feisal salum “Feitoto”

kidudumtujr

Mgeni
Dec 14, 2022
50
70
5
Tanzania
Sakata La Uhamisho kwa Mchezaji wa YANGA Feisal salum “Feitoto”Limezua Taswira Mpya,Baada Ya Club ya YANGA kumuandikia Barua Feisal pamoja na AZAM na vyombo vinavyohusika na Mpira wa Miguu ikiomba Mkataba Baina yao Uheshimiwe.

>>>Clubs,YANGA pia imerudisha Fedha kiasi cha (112M) zilizolipwa na Feisal kwa nia ya Kuvunja Mkataba baina Yao.
 

Attachments

  • 57C73204-8CAC-421B-BB43-486ADAC82E52.jpeg
    57C73204-8CAC-421B-BB43-486ADAC82E52.jpeg
    482.1 KB · Somwa: 1
  • Wow
Reactions: UnclRugaRafiki