FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Inaataarifiwa katika Mitandao mbalimbali ya Kijamii kuwa Klabu ya Simba wako kwenye mazungumzo ya kina na Azam FC kukamilisha usajili wa Feitoto

Unadhani utakua Usajili Wa aina gani endapo ukitokea na kukamilika?
 
Kadzo_lass

Mgeni
Jul 1, 2024
8
3
5
Hizi ni story za alinacha Fei hawezi kwenda Simba ikiwa Azam nao wanajipanga na mashindano ya club bingwa Africa Azam hii hawaezi kubaliana nalo maana Fei toto ni kati ya wachezaji tegemezi pale Lambalamba Fc kumuachia ni ngumu sana yani makolo bado hamjasema na mtasema tu msimu uanze jamani
 
Jul 1, 2024
5
1

Ela ndo znaongea
 
Dominick Mosses Mbisi

Mpiga Chabo
Jul 1, 2024
2
0
0
Inaataarifiwa katika Mitandao mbalimbali ya Kijamii kuwa Klabu ya Simba wako kwenye mazungumzo ya kina na Azam FC kukamilisha usajili wa Feitoto

Unadhani utakua Usajili Wa aina gani endapo ukitokea na kukamilika?
Fei atakuwa wa ajabu iwapo atakubali kuacha club bingwa na kucheza shirikisho