Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
FIFA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

FIFA YAIZUIA URUSI KICHEZA NYUMBANI NA...

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeitaka Urusi kucheza michezo yake katika Uwanja huru na bila mashabiki ikiwa ni kikwazo baada ya majeshi ya nchi hiyo kuivamia Ukraine na kuishambulia.

Hata hivyo, FIFA imesema timu za Urusi zitashiriki mashindano yote ya bodi hiyo ya soka duniani, ikiwemo Kombe la Dunia baadaye mwaka huu nchini Qatar.

Lakini FIFA imesema katika michezo ya Urusi hakutapeperushwa bendera ya nchi yao wala kuchezwa wimbo wa taifa lao.

FIFA imesema agizo hilo litaanza kwenye michezo ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Poland Machi ambao ulipangwa kuchezwa Jijini Moscow.

[QUOTE="Amir, post: 1093, member: 20"] FIFA YAIZUIA URUSI KICHEZA NYUMBANI NA... [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgl12M0CQ45j1E0ZmACB_VZ2_3u-D95RDsQxoLaXh3twVx1EyrBo-r-PdLPUL3prKpoSZti6pO45OMC0IyTZtOzP21wIj9CrX_8upWyCL56E6_bNuv_aLfY1VgDFRrw7eebxnwQhFP2OOFbdR4cNFYU1Hhns2JEeXjEQvW59BHFV2IO6ljdgnxAE0pR=w640-h468[/IMG] SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeitaka Urusi kucheza michezo yake katika Uwanja huru na bila mashabiki ikiwa ni kikwazo baada ya majeshi ya nchi hiyo kuivamia Ukraine na kuishambulia. Hata hivyo, FIFA imesema timu za Urusi zitashiriki mashindano yote ya bodi hiyo ya soka duniani, ikiwemo Kombe la Dunia baadaye mwaka huu nchini Qatar. Lakini FIFA imesema katika michezo ya Urusi hakutapeperushwa bendera ya nchi yao wala kuchezwa wimbo wa taifa lao. FIFA imesema agizo hilo litaanza kwenye michezo ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Poland Machi ambao ulipangwa kuchezwa Jijini Moscow. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
FIFA
Top
Bottom