Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Football na Sayans Football ni Sayansi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Football na sayans

Kwenye vitabu United ilionekana Kama 4231 lakin kwenye kucheza United walikua 442 Bruno winga kulia Sancho kushoto weghorst na Rashford Kama washambuliaji wawili wa uongo maana akuna anae simama hapo mbele tukiwa tunakaba ni 433 Sancho anaingia ndan Rashford pemben kushoto Bruno anabaki kulia.

Balotell nimeona number wa wili Fred na weghorst chini yao Kuna casamiro 433 holding kazi ya Fred ni kuwaforce Barca wasitengeneza mashambuliz kuanzia Kat ndio maana de jong muda mwing alikua chin zaid coz Fred alikua ana gasi Sana huku weghorst alikua anakaa eneo lote ambalo Fred katoka kwenda kufanya pressing.

Huku Bruno wing yake kwenye kukaba ni kuzui pass ya mwisho kwa Pedri huku Casa akidili na Gavi ambae Xavi anamtumia Kama game changer dakika zote 90.

Casamiro kudili na Gavi ilikua ni kesi dogo Sana Kama Jana wote tulivyoona magoal yao walipata baada ya kuona United tupo sawa kote wakaja na plan B ya kumwaga maji na walifanikiwa Varane mrefu lakin sio mzur kuruka pia hivyo pia ata kwa Shaw kuruka na kimo chake mmmh

Lawama kubwa kwa Weghorst nafas kubwa aliyo kosa lakin pongez kwa golikipa msimu huu kwenye ligi ya Laliga pale Camp Nou Barcelona kafungwa goal moja tu

TUKUTANE OT TUMALIZE KAZI

[ATTACH=full]1234[/ATTACH]

[QUOTE="McRay, post: 3355, member: 468"] Football na sayans Kwenye vitabu United ilionekana Kama 4231 lakin kwenye kucheza United walikua 442 Bruno winga kulia Sancho kushoto weghorst na Rashford Kama washambuliaji wawili wa uongo maana akuna anae simama hapo mbele tukiwa tunakaba ni 433 Sancho anaingia ndan Rashford pemben kushoto Bruno anabaki kulia. Balotell nimeona number wa wili Fred na weghorst chini yao Kuna casamiro 433 holding kazi ya Fred ni kuwaforce Barca wasitengeneza mashambuliz kuanzia Kat ndio maana de jong muda mwing alikua chin zaid coz Fred alikua ana gasi Sana huku weghorst alikua anakaa eneo lote ambalo Fred katoka kwenda kufanya pressing. Huku Bruno wing yake kwenye kukaba ni kuzui pass ya mwisho kwa Pedri huku Casa akidili na Gavi ambae Xavi anamtumia Kama game changer dakika zote 90. Casamiro kudili na Gavi ilikua ni kesi dogo Sana Kama Jana wote tulivyoona magoal yao walipata baada ya kuona United tupo sawa kote wakaja na plan B ya kumwaga maji na walifanikiwa Varane mrefu lakin sio mzur kuruka pia hivyo pia ata kwa Shaw kuruka na kimo chake mmmh Lawama kubwa kwa Weghorst nafas kubwa aliyo kosa lakin pongez kwa golikipa msimu huu kwenye ligi ya Laliga pale Camp Nou Barcelona kafungwa goal moja tu TUKUTANE OT TUMALIZE KAZI [ATTACH type="full"]1234[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Football na Sayans Football ni Sayansi
Top
Bottom