FT : Ethiopia 0 Tanzania 2 | Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni Kuelekea Mchezo Wa Mwisho Dhidi Ya Guinea?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
499
659
125
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco umemalizika Kwa wageni Tanzania kuondoka na ushindi dhidi ya Ethiopia

Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni kuelekea Mchezo Wa mwisho dhidi ya Guinea?
 
Areson _jr

Mpiga Chabo
Aug 7, 2024
5
0
0
Leo team yetu imecheza vizuri sana, Na kwa mwenendo huu tunawez kufuzu Kwenda kucheza afcon Morroco inshallah 🙏🙏 mechi ijayo matokeo lazima📌
 
dbreezy

Mpiga Chabo
Nov 16, 2024
2
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco umemalizika Kwa wageni Tanzania kuondoka na ushindi dhidi ya Ethiopia

Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni kuelekea Mchezo Wa mwisho dhidi ya Guinea?
Kwann mech nyingine huw anamwacha msuva anakumbuk mwisho sahz
 
uysenfrescor

Mpiga Chabo
Nov 16, 2024
1
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco umemalizika Kwa wageni Tanzania kuondoka na ushindi dhidi ya Ethiopia

Una Lipi la Kuzungumza Mwana Kijiweni kuelekea Mchezo Wa mwisho dhidi ya Guinea?
Timu bado tunataka tanzania icheze kama simba na yanga sio kupaki basi