Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga uliochezwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Umemalizika kwa suluhu Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?