Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
FT : Kagera Sugar FC 2 Simba SC 5 | Mmeunaoje Mchezo Wa Leo Wana Kijiweni
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yale magoli tuliyofungwa ya kizembe... Moja Captain aliingia sana ndani akasahau pembeni mlango uko wazii, na la pilli simlaumu camara pengine hakuwa kwenye angle ya kuona mpira ndo maana likawa goli lakini nimeona mwisho wa game hana raha najua atalifanyia kazi spider man... Kwa man of the match honestly Chasambi, kaingia kama sub katoa assist 3 (hatassist-trick), Mutale kocha anampenda sana na anampa game ajifute kwa mashabiki lakini pengine presha ni kubwa labdaa aanze then arudi bench naona akiingia kutoka benchi mashabiki wote tushajua ataanguka, atahola au atatoa pasi fyongo, though leo ka improve kuna pasi mbili tatu alikuwa kafungua macho safi...

Kule kwa Ngoma yule jamaa kama nabii, kocha hakupenda tabia ya kusema goli tano leo akaona ampumzishe sema ilituuma sana kumtoa mpanzu mapema huyu mwamba ananikumbusha enzi za Miqqueson na chama pale msimbazi! Wasimuumize tuu....

Mmeona kwa mzamiru palivyowaka leo?? Yule nani yuleeee alimchungulia kipa kakaa mbele akanyanyua mkwaju mrefu mpaka kipa akamind akaanza kuongea na ball, sema wamempa man of the match sina lawama kwa sababu ameanza game kama Chasambi angeanza uenda ikawa angekuwa man of the match!!!

Kule kwa kasongo yeeeyeee mongai nangaaa (Kijili) sina nomah nae game kama hizi aachiwe tuu watu wafukuze upepo!

Mwanangu sana Striker refu kuliko goaal mzee wa waaaaaah leo katufurahisha na kajisafisha na hapo bado hatujampeleka kwenye maombi dadeeeek

Acha mtaa uendelee kuongea! Ndo tunaenda zetu kuvimba tunywe tuwake kesho ibada mapemaaaaa...

[QUOTE="BenBro🇹🇿, post: 13762, member: 1790"] Yale magoli tuliyofungwa ya kizembe... Moja Captain aliingia sana ndani akasahau pembeni mlango uko wazii, na la pilli simlaumu camara pengine hakuwa kwenye angle ya kuona mpira ndo maana likawa goli lakini nimeona mwisho wa game hana raha najua atalifanyia kazi spider man... Kwa man of the match honestly Chasambi, kaingia kama sub katoa assist 3 (hatassist-trick), Mutale kocha anampenda sana na anampa game ajifute kwa mashabiki lakini pengine presha ni kubwa labdaa aanze then arudi bench naona akiingia kutoka benchi mashabiki wote tushajua ataanguka, atahola au atatoa pasi fyongo, though leo ka improve kuna pasi mbili tatu alikuwa kafungua macho safi... Kule kwa Ngoma yule jamaa kama nabii, kocha hakupenda tabia ya kusema goli tano leo akaona ampumzishe sema ilituuma sana kumtoa mpanzu mapema huyu mwamba ananikumbusha enzi za Miqqueson na chama pale msimbazi! Wasimuumize tuu.... Mmeona kwa mzamiru palivyowaka leo?? Yule nani yuleeee alimchungulia kipa kakaa mbele akanyanyua mkwaju mrefu mpaka kipa akamind akaanza kuongea na ball, sema wamempa man of the match sina lawama kwa sababu ameanza game kama Chasambi angeanza uenda ikawa angekuwa man of the match!!! Kule kwa kasongo yeeeyeee mongai nangaaa (Kijili) sina nomah nae game kama hizi aachiwe tuu watu wafukuze upepo! Mwanangu sana Striker refu kuliko goaal mzee wa waaaaaah leo katufurahisha na kajisafisha na hapo bado hatujampeleka kwenye maombi 😀😀😀dadeeeek Acha mtaa uendelee kuongea! Ndo tunaenda zetu kuvimba tunywe tuwake kesho ibada mapemaaaaa... [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
FT : Kagera Sugar FC 2 Simba SC 5 | Mmeunaoje Mchezo Wa Leo Wana Kijiweni
Top
Bottom