FT : MC Alger 2 Yanga SC 0 | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
467
622
125
Wananchi wanapoteza Mechi ya pili mfululizo na kubakia mkiani kwenye Mchezo Wa Makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika

Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
 

Abdillah

Mgeni
Jun 12, 2024
5
1
5
Daahhhhh kwakeli sijategemea kuona ivi yanga wanacheza ovyo sana ya hovyo sana mbona imekuwa ajabu sana yanga hiiii🙃🙃🙃🙃🙃
 

yanhkizzy.tz

Mgeni
Jun 30, 2024
15
4
5
Sisi Simba tunaumia sana baada ya juhudi kubwa ya kupandisha soka la Tanzania viwango vya juu,kuna hizi teams (Yanga na Azam) zilizojiona bora kushiriki CafCL znafanya vibaya jambo linalorudisha tena nyuma mpira wetu... Mtani utafungwa sana mpaka wale mashabiki waliotaka Yanga icheze na malaika waombe radhi,Toba...
 

chichi

Mgeni
Jun 24, 2024
9
7
5
Shida ni kocha
Anaenda na mfumo vizuri ila hajatambua kuwa kwenye benchi anaacha watu wa maana kabisa....
Aziz alikuwa hana haja ya kuanza
Mzize unamuachaje bench
Abadili wachezaji angalau
 

Anafi

Mgeni
Oct 2, 2024
7
1
5
Shida ni kocha
Anaenda na mfumo vizuri ila hajatambua kuwa kwenye benchi anaacha watu wa maana kabisa....
Aziz alikuwa hana haja ya kuanza
Mzize unamuachaje bench
Abadili wachezaji angalau
Sizani kama atakula krismas