Simba wanacheza vizur ila Kuna vitu wanapaswa kuongeza
Wajue muda wa kumtafta mpinzani
Wajue wakati wakutuliza timu
Wajue namna ya kulazmisha ili kupata matokeo
Wajue namna ya kutorudisha mpira nyuma wakati sahihi si kila muda
Timu ndogo zijue namna ya kupambana na timu kubwa hizi siyo kujiandaa kibondia badala yake zijiandae ki mchezo
Namungo wangetulia wangeweza kupata sare kutokana na ubora waoh na mchezo zaidi
Yote na yote ni mchezo mzur na Simba itabaki kuwa simba