FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO πŸ˜…

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
273
389
25
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 ya nchini Morocco kati ya Tanzania dhidi ya Ethiopia umemalizika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kwa suluhu ya Bila kufungana

Umekionaje kiwango Cha Taifa Stars? Unadhani wanatakiwa kufanya yapi kuelekea Mchezo wa pili dhidi ya Gambia?
 
  • Like
Reactions: G.H.E.N

Mrs L

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
1
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 ya nchini Morocco kati ya Tanzania dhidi ya Ethiopia umemalizika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kwa suluhu ya Bila kufungana

Umekionaje kiwango Cha Taifa Stars? Unadhani wanatakiwa kufanya yapi kuelekea Mchezo wa pili dhidi ya Gambia?
Taifa stars imezuia vizuri ila kocha afanyie kazi safu ya ushambuliaji
 
Ndenda jr

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
3
0
0
Inaonekana pale kati tuliua muunganiko wa timu kabisa tulikuwa tunacheza kwa kubahatisha kama hatuna tunachokitafuta
 
Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
9
3
5
Inaonekana pale kati tuliua muunganiko wa timu kabisa tulikuwa tunacheza kwa kubahatisha kama hatuna tunachokitafuta
Kifupi hatuna kocha hapo , bora ajiuzulu tu

Poor perfomance kwa sku hii ya leo, tukiendelea ivi bhas wageni watautumia vzuri ule ukarimu wetu "Karibu mgeni, Jisikie upo nyumbani...."
 
mr amon

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
1
0
0
Mmh wametuchania mkeka bora YangaπŸ”° ifanywe Taifa Stars walau kuna mtu atakula 5οΈβƒ£βœ‹πŸΎKOMASAVAA
Mchezo upo vzur laikini kijana wetu MOHAMED HUSSEN aisee anajituma sana huyo kijana ana stahili maua yake πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Kingine ni kukosekana kwa mastaa wetu MSUVA na M SAMATA an pengo linaonekana bora angekuwepo ata mmoja wapo
 
Jeremiah Charles

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
1
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 ya nchini Morocco kati ya Tanzania dhidi ya Ethiopia umemalizika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kwa suluhu ya Bila kufungana

Umekionaje kiwango Cha Taifa Stars? Unadhani wanatakiwa kufanya yapi kuelekea Mchezo wa pili dhidi ya Gambia?
Tanzania inabidi Turuhusu uraia wa nchi mbili bila hivo mpaka vitukuu vyetu hawatokuja kushiriki kombe la dunia am fromπŸ‡ΏπŸ‡¦
 
GPS

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
3
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 ya nchini Morocco kati ya Tanzania dhidi ya Ethiopia umemalizika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kwa suluhu ya Bila kufungana

Umekionaje kiwango Cha Taifa Stars? Unadhani wanatakiwa kufanya yapi kuelekea Mchezo wa pili dhidi ya Gambia?
Leo ndo nimejua kwanini mashabiki wa taifa awapendi kwenda uwanjani