Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
FT : Yanga SC 0 Azam FC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa DABI Ya Dar Es Salaam? Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mpira ndio ulivyo na matokeo ya mpira huwa katili sana kila mara.

Ukiona umefurahi wewe ujue kuna mwingine kwa matokeo yaliokufurahisha yeye kaumia.

Turudi kwenye mpira kidogo.. timu zetu ni siasa sana kuliko uhalisia.. ukisikia sifa za yanga unaweza sema hata ije timu gani inafungwa tu na haitakuja kutokea yanga kufungwa

Simba na yanga ni maneno tu na wengi wanafungwa nazo kwa maneno tu lkn ni timu za kawaida tu.

Washabiki na viongozi wanasiasa tu wanapenda kusifiwa na hawataki kukosolewa ikitokea timu yao imefungwa basi wanapata pa kutupia lawama.

Kama sio kocha ni refa kama sio refa ni viongozi kama sio wao basi wachezaji wanahujumu

Tukubali leo azam wamekuwa na nidhamu sana ya mchezo na hawakuwa na papala kabisa roteshen ya wachezaji wa yanga haikuwa tishio leo azizi K leo hajaonekana, Prince Dube kama hayupo, max kajitahidi lkn kapotezwa tu.. yaani naweza eleza woote na jibu likawa moja.

Hongera AZAM FC hongereni Yanga kwa kuwapatia point 3 wapinzani wenu huu ndio mpira tukubali matokeo.

[QUOTE="MR. VIP, post: 11945, member: 1957"] Mpira ndio ulivyo na matokeo ya mpira huwa katili sana kila mara. Ukiona umefurahi wewe ujue kuna mwingine kwa matokeo yaliokufurahisha yeye kaumia. Turudi kwenye mpira kidogo.. timu zetu ni siasa sana kuliko uhalisia.. ukisikia sifa za yanga unaweza sema hata ije timu gani inafungwa tu na haitakuja kutokea yanga kufungwa🤔🤔🤔 Simba na yanga ni maneno tu na wengi wanafungwa nazo kwa maneno tu lkn ni timu za kawaida tu. Washabiki na viongozi wanasiasa tu wanapenda kusifiwa na hawataki kukosolewa ikitokea timu yao imefungwa basi wanapata pa kutupia lawama. Kama sio kocha ni refa kama sio refa ni viongozi kama sio wao basi wachezaji wanahujumu 🤣🤣🤣 Tukubali leo azam wamekuwa na nidhamu sana ya mchezo na hawakuwa na papala kabisa roteshen ya wachezaji wa yanga haikuwa tishio leo azizi K leo hajaonekana, Prince Dube kama hayupo, max kajitahidi lkn kapotezwa tu.. yaani naweza eleza woote na jibu likawa moja. Hongera AZAM FC hongereni Yanga kwa kuwapatia point 3 wapinzani wenu huu ndio mpira tukubali matokeo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
FT : Yanga SC 0 Azam FC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa DABI Ya Dar Es Salaam? Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Top
Bottom