Mchezo wa Ligi Ya Mabingwa Afrika kati ya Wananchi dhidi ya TP Mazembe umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na alama 3 huku na Magoli 3 kwenye Mchezo Wa Leo Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?