FT : Yanga SC 4 Pamba Jiji FC 0 | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
342
473
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Pamba Jiji FC umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa mabao 4 Kwa sifuri

Mabao yakifungwa na

Ibrahim Bacca
Aziz Ki
Max Nzengeli
Musonda

Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni? Mchezaji Gani Amekuvutia Leo?
 
Alick

Mgeni
Oct 3, 2024
1
1
5

Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni? Mchezaji Gani Amekuvutia Leo?Aziziki
 
  • Like
Reactions: Enck
Oct 3, 2024
1
1
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Pamba Jiji FC umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa mabao 4 Kwa sifuri

Mabao yakifungwa na

Ibrahim Bacca
Aziz Ki
Max Nzengeli
Musonda

Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni? Mchezaji Gani Amekuvutia Leo?
Yanga inazidi kuonyesha ubora wake
 
  • Like
Reactions: Enck

James gerard

Mpiga Chabo
Oct 3, 2024
2
2
0
Nasikia ya kwamba watoto wa baba mmoja ila mama mbalimbali naona yule anayependwa zaidi leo ilikuwa ni lazima ashinde
 
frank123

Mgeni
Oct 4, 2024
2
2
5
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Pamba Jiji FC umemalizika Kwa WANANCHI kuondoka na Ushindi wa mabao 4 Kwa sifuri

Mabao yakifungwa na

Ibrahim Bacca
Aziz Ki
Max Nzengeli
Musonda

Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni? Mchezaji Gani Amekuvutia Leo?
Kitendo Cha lbra Bacca kutikisa kamba mapema ilipendeza sana
 
  • Like
Reactions: Enck

Saidy

Mgeni
Jun 5, 2024
102
21
5
 
  • Like
Reactions: Enck