Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
FULL TIME : GUINEA 1 TANZANIA 2 | Leo Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yaani mpaka wasemwe ndio wajirekebishe.

1. Kwanza kabisa kazi nzuri kama timu/wapambanaji tuna faida ya point 4

2. Kuna sehem kadhaa za kuzifanyia kazi

a)Benchi la ufundi liwe makini kwenye kupanga watu sahihi kwa nafasi sahihi sio mtu wa kushoto unamweka kulia kiungo kumweka beki na mengineyo ya kiufundi.

b) Kwenye kuchagua Formation. Kocha achague formation yenye faida sio ya uwoga maswala ya 4_5_1 siyaafiki kama tunahitaji ushindi au points.

3. Kwa wachezaji

a) Wachezaji baadhi hawajitumi yaani kama vile hawana cha kupoteza

b) kuchelewa kufanya maamuzi(wazito) wanakaa na mpira mpaka wanapokonywa badala ya kutoa pasi au kushambulia kama FEI TOTO au MUDA kitu kinachoongeza ubora wao Kila siku.

* c) Hapa inabidi tukubali na tuwe na wivu wa maendeleo na tujifunze kwa wenzetu waliofanikiwa, Wachezaji wetu hawana ubora kama timu Wana Ubora kwa mchezaji mmojammoja kitu ambacho kimewanyima hamasa SAMATTA. Tofauti na timu za wenzetu kama Jana GUINEA walikuwa na ubora wa timu jinsi wanavyoshambulia na kukaba Kila mchezaji alikuwa na ubora. Mfano Sisi tuna FEI, MUDA, MZIZE, ZIMBWE, BAKKA kitu ambacho hatuwezi kujiamini 100% kupata ushindi. Inabidi tuwe na Wachezaji watakaounda UBORA wa Timu kuweza kushindana kimataifa sio kushiriki.

4. Kuwa na Wachezaji wenye uwezo mkubwa hasa wa kimataifa. Najua Kuna changamoto kwa Wachezaji wetu kwenda kucheza ligi kubwa uwezo wanao tatizo ni connection na mawakala wa uhakika wasio wababaishaji wasio na tamaa. Kama hatupati nafasi nje basis tuwape Wachezaji wetu nafasi kwenye ligi ya ndani Ile waweze Kuwa bora.

5. Kuandaa Wachezaji kwa muda wote wapatikane wakihitajika. Tunakuwa na Wachezaji wa muda mfupi wakistaafu tunapata shida ya kuwaanda wengine, tuwe nao muda wote isiwe Kila siku tuna saa wapya.

6. TFF waendeleze miundombinu ya kukuza Wachezaji/vipaji.

MWISHO tusikate tamaa penye Nia Pana njia jitihada zinaonekana tujitume HONGERENI KWA USHINDI WA JANA

[QUOTE="Rhino, post: 9529, member: 1685"] Yaani mpaka wasemwe ndio wajirekebishe. 1. Kwanza kabisa kazi nzuri kama timu/wapambanaji tuna faida ya point 4 2. Kuna sehem kadhaa za kuzifanyia kazi a)Benchi la ufundi liwe makini kwenye kupanga watu sahihi kwa nafasi sahihi sio mtu wa kushoto unamweka kulia kiungo kumweka beki na mengineyo ya kiufundi. b) Kwenye kuchagua Formation. Kocha achague formation yenye faida sio ya uwoga maswala ya 4_5_1 siyaafiki kama tunahitaji ushindi au points. 3. Kwa wachezaji a) Wachezaji baadhi hawajitumi yaani kama vile hawana cha kupoteza b) kuchelewa kufanya maamuzi(wazito) wanakaa na mpira mpaka wanapokonywa badala ya kutoa pasi au kushambulia kama FEI TOTO au MUDA kitu kinachoongeza ubora wao Kila siku. * c) Hapa inabidi tukubali na tuwe na wivu wa maendeleo na tujifunze kwa wenzetu waliofanikiwa, Wachezaji wetu hawana ubora kama timu Wana Ubora kwa mchezaji mmojammoja kitu ambacho kimewanyima hamasa SAMATTA. Tofauti na timu za wenzetu kama Jana GUINEA walikuwa na ubora wa timu jinsi wanavyoshambulia na kukaba Kila mchezaji alikuwa na ubora. Mfano Sisi tuna FEI, MUDA, MZIZE, ZIMBWE, BAKKA kitu ambacho hatuwezi kujiamini 100% kupata ushindi. Inabidi tuwe na Wachezaji watakaounda UBORA wa Timu kuweza kushindana kimataifa sio kushiriki. 4. Kuwa na Wachezaji wenye uwezo mkubwa hasa wa kimataifa. Najua Kuna changamoto kwa Wachezaji wetu kwenda kucheza ligi kubwa uwezo wanao tatizo ni connection na mawakala wa uhakika wasio wababaishaji wasio na tamaa. Kama hatupati nafasi nje basis tuwape Wachezaji wetu nafasi kwenye ligi ya ndani Ile waweze Kuwa bora. 5. Kuandaa Wachezaji kwa muda wote wapatikane wakihitajika. Tunakuwa na Wachezaji wa muda mfupi wakistaafu tunapata shida ya kuwaanda wengine, tuwe nao muda wote isiwe Kila siku tuna saa wapya. 6. TFF waendeleze miundombinu ya kukuza Wachezaji/vipaji. MWISHO tusikate tamaa penye Nia Pana njia jitihada zinaonekana tujitume HONGERENI KWA USHINDI WA JANAππ [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
FULL TIME : GUINEA 1 TANZANIA 2 | Leo Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO?
Top
Bottom