Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani kilichotokea ni mbinu na ubora wa wachezaji kuamua game

Kila team ulicheza kwa awamu awamu Singida kacheza Sana first half japo alifungwa na Simba kacheza Sana second half

Ubora wa chama na Tibanzokinza utawatesa Sana viungo wakabaji wa team pinzani na goli la Simba la kwanza lile limefungwa kwa uwezo wa Mfungaji

Baleke Goli gumu Sana mazingira Magumu kwa mchezaji wa kawaida hawezi kuamua kuwa pale anafunga na akafunga Singida walipoteana zaidi kwa Bao la Sakho goli Bora na zuri kuliko japo Sakho kwake kawaida Sana kufunga Aina ile pale ndiyo Singida wakapoteana zaidi.

[ATTACH=full]1151[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3178, member: 464"] Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani kilichotokea ni mbinu na ubora wa wachezaji kuamua game Kila team ulicheza kwa awamu awamu Singida kacheza Sana first half japo alifungwa na Simba kacheza Sana second half Ubora wa chama na Tibanzokinza utawatesa Sana viungo wakabaji wa team pinzani na goli la Simba la kwanza lile limefungwa kwa uwezo wa Mfungaji Baleke Goli gumu Sana mazingira Magumu kwa mchezaji wa kawaida hawezi kuamua kuwa pale anafunga na akafunga Singida walipoteana zaidi kwa Bao la Sakho goli Bora na zuri kuliko japo Sakho kwake kawaida Sana kufunga Aina ile pale ndiyo Singida wakapoteana zaidi. [ATTACH type="full"]1151[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani
Top
Bottom