Singida Big Star wapo Uwanja wa nyumbani Liti, wakiwakaribisha Namungo FC. Mechi hii itapigwa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Kagera Sugar watakuwa CCM Kirumba wakiwaalika Ihefu SC.. Mtanange huu utapigwa kuanzia Saa 10:00 Jioni