Game za leo NBC

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Singida Big Star wapo Uwanja wa nyumbani Liti, wakiwakaribisha Namungo FC.

Mechi hii itapigwa kuanzia Saa 10:00 Jioni.

Kagera Sugar watakuwa CCM Kirumba wakiwaalika Ihefu SC..

Mtanange huu utapigwa kuanzia Saa 10:00 Jioni
 
  • Like
Reactions: McRay