Klabu ya Liverpool
imefikia makubaliano ya kumsajili Kody Gapco kwa dau la kati ya paundi milioni 35 na 45 akitokea klabu ya PSV.
Taarifa iliyotolewa na klabu ya PSV imesema" tumefikia makubaliano na Liverpool ya kutaka kumsajili Gapco,".
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 23 anategemewa kuhamia Liverpool wakati wowote baada ya taratibu za usajili kukamilika.
Manchester United pia inasemekana ipo katika mbio za kuitaka saini ya mchezaji huyo.
Hii ni baada ya United kumsajili Antony kutoka Ajax.
Kocha wa United Erik ten Hag amekuja na mpango wa kumtaka mchezaji huyo kwa ajili ya kuziba pengo la Cristiano Ronaldo mwezi Januari.
Gapco ameng'ara katika michuano ya kombe la dunia kwa kuifungia Uholanzi magoli matatu kabla ya kutolewa.