Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Gapko kutua Liverpool..!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Klabu ya Liverpool[ATTACH=full]943[/ATTACH] imefikia makubaliano ya kumsajili Kody Gapco kwa dau la kati ya paundi milioni 35 na 45 akitokea klabu ya PSV.

Taarifa iliyotolewa na klabu ya PSV imesema" tumefikia makubaliano na Liverpool ya kutaka kumsajili Gapco,".

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 23 anategemewa kuhamia Liverpool wakati wowote baada ya taratibu za usajili kukamilika.

Manchester United pia inasemekana ipo katika mbio za kuitaka saini ya mchezaji huyo.

Hii ni baada ya United kumsajili Antony kutoka Ajax.

Kocha wa United Erik ten Hag amekuja na mpango wa kumtaka mchezaji huyo kwa ajili ya kuziba pengo la Cristiano Ronaldo mwezi Januari.

Gapco ameng'ara katika michuano ya kombe la dunia kwa kuifungia Uholanzi magoli matatu kabla ya kutolewa.

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2525, member: 572"] Klabu ya Liverpool[ATTACH type="full"]943[/ATTACH] imefikia makubaliano ya kumsajili Kody Gapco kwa dau la kati ya paundi milioni 35 na 45 akitokea klabu ya PSV. Taarifa iliyotolewa na klabu ya PSV imesema" tumefikia makubaliano na Liverpool ya kutaka kumsajili Gapco,". Mshambuliaji huyo mwenye miaka 23 anategemewa kuhamia Liverpool wakati wowote baada ya taratibu za usajili kukamilika. Manchester United pia inasemekana ipo katika mbio za kuitaka saini ya mchezaji huyo. Hii ni baada ya United kumsajili Antony kutoka Ajax. Kocha wa United Erik ten Hag amekuja na mpango wa kumtaka mchezaji huyo kwa ajili ya kuziba pengo la Cristiano Ronaldo mwezi Januari. Gapco ameng'ara katika michuano ya kombe la dunia kwa kuifungia Uholanzi magoli matatu kabla ya kutolewa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Gapko kutua Liverpool..!
Top
Bottom