Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Gerson Msigwa Njoo Utujibu Watanzania Ile Wi-Fi Ya Bure Uwanja Wa Mkapa Mlikua Serious Au Porojo Za Kisiasa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Novemba 5 mwaka 2023 ilikua ni siku ambayo kulikua na mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambapo klabu ya Simba walikua wakicheza dhidi ya Yanga mchezo ambao wananchi waliondoka na ushindi wa magoli 5 kwa 1 la Simba LAKINI ndio siku ambayo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro na aliyekua Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano, Nape Nnauye walizindua intanenti ya bure yaani (Wi-Fi) na kusema kuwa itawarahisishia watu mawasiliano ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Nikiri kwa kusema kuwa huu ulikua UONGO uliotukuka kwani mimi ni mmojawapo wa watu ambao nina hudhuria mechi mbalimbali pale uwanjani na ukiingia hakuna hicho wanachosema kwamba kinarahisisha mawasiliano ndani ya uwanja kwani mara zote ukiwasha Wi-Fi unakuta ya VIP ambayo imeandikwa TTCL VVIP wengine hatuna uwezo wa kuunganisha na hizi zingine ambazo walizifunga hakuna hata moja ambayo unaipata kwa sasa zaidi sana labda ile ambayo wanatumia waandishi wahabari ambayo imeandikwa TTCL_MEDIA_CENTRE_STAFF au TTCL_MICHEZO_STAFF.

Ikumbukwe kuwa kuwekwa kwa mtandao huu wa bure uwanjani walisema kuwa lilikua ni agizo la Rais

Nisema tu kwamba ni wakati wa kuacha kutumia viwanja hivi vya mpira kwa ajili ya manufaa yenu kisiasa kwa kuchanganyikiwa na idadi ya watu ambao wametoa pesa zao kuja kutazama burudani huku mkiwadanganya kuwa watakuta kuna uwezo wa wao kujiunga na mtandao wa bure wanapokua uwanjani hapo ambapo sio kweli.

Lakini pia kwenu Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwahiyo mkatudanganya kabisa kwamba ile mliyofunga ni Wi-Fi yenye kasi kabisa? Mi nadhani kama Wizara mngeweka namna ya kufunga vifaa vya kurahisisha mawasiliano ya intaneti kwani kunapokua na watu wengi pale ndani mara nyingi mtandao huwa uko chini sana na huchukua muda baadhi ya mitandao kufunguka.

Hii picha hapa chini ni siku ya UZINDUZI WA Wi-Fi Kwa MKAPA

[ATTACH=full]1537[/ATTACH]

[QUOTE="Mshua, post: 8688, member: 2315"] Novemba 5 mwaka 2023 ilikua ni siku ambayo kulikua na mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambapo klabu ya Simba walikua wakicheza dhidi ya Yanga mchezo ambao wananchi waliondoka na ushindi wa magoli 5 kwa 1 la Simba LAKINI ndio siku ambayo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro na aliyekua Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano, Nape Nnauye walizindua intanenti ya bure yaani (Wi-Fi) na kusema kuwa itawarahisishia watu mawasiliano ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa. Nikiri kwa kusema kuwa huu ulikua UONGO uliotukuka kwani mimi ni mmojawapo wa watu ambao nina hudhuria mechi mbalimbali pale uwanjani na ukiingia hakuna hicho wanachosema kwamba kinarahisisha mawasiliano ndani ya uwanja kwani mara zote ukiwasha Wi-Fi unakuta ya VIP ambayo imeandikwa TTCL VVIP wengine hatuna uwezo wa kuunganisha na hizi zingine ambazo walizifunga hakuna hata moja ambayo unaipata kwa sasa zaidi sana labda ile ambayo wanatumia waandishi wahabari ambayo imeandikwa TTCL_MEDIA_CENTRE_STAFF au TTCL_MICHEZO_STAFF. Ikumbukwe kuwa kuwekwa kwa mtandao huu wa bure uwanjani walisema kuwa lilikua ni agizo la Rais Nisema tu kwamba ni wakati wa kuacha kutumia viwanja hivi vya mpira kwa ajili ya manufaa yenu kisiasa kwa kuchanganyikiwa na idadi ya watu ambao wametoa pesa zao kuja kutazama burudani huku mkiwadanganya kuwa watakuta kuna uwezo wa wao kujiunga na mtandao wa bure wanapokua uwanjani hapo ambapo sio kweli. Lakini pia kwenu Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwahiyo mkatudanganya kabisa kwamba ile mliyofunga ni Wi-Fi yenye kasi kabisa? Mi nadhani kama Wizara mngeweka namna ya kufunga vifaa vya kurahisisha mawasiliano ya intaneti kwani kunapokua na watu wengi pale ndani mara nyingi mtandao huwa uko chini sana na huchukua muda baadhi ya mitandao kufunguka. [B][I]Hii picha hapa chini ni siku ya UZINDUZI WA Wi-Fi Kwa MKAPA[/I][/B] [ATTACH type="full"]1537[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Gerson Msigwa Njoo Utujibu Watanzania Ile Wi-Fi Ya Bure Uwanja Wa Mkapa Mlikua Serious Au Porojo Za Kisiasa?
Top
Bottom