Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Template errors
Template public:thread_reply: [E_DEPRECATED] str_replace(): Passing null to parameter #3 ($subject) of type array|string is deprecated (src/addons/KL/EditorManager/XF/BbCode/Renderer/EditorHtml.php:107)
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Gharama Za Kutumia Uwanja Wa Uhuru Na Uwanja Wa Benjamin Mkapa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mwana Kijiweni kama ambavyo leo tumekuja na gharama za viwanja mbalimbali vya soka hapa Tanzania na gharama zake za matumizi sasa utakua ni mmoja ya wale ambao wanatamani kufahamu endapo utataka kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa au Uwanja wa Uhuru gharama zake zikoje? Kutoka kwenye tovuti rasmi ya Wizara ya Utamaduni , Sanaa na Michezo katika chapisho lao linalopatikana hapa https://www.michezo.go.tz/pages/national-and-uhuru-stadium-services limeelezea gahrama hizo kama ifuatavyo:

Benjamin Mkapa and Uhuru Stadium Services

S/N

HUDUMA

GHARAMA

1.

Kukodisha Uwanja wa Taifa

Tshs. 20,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni

2.

Kukodisha Uwanja wa Uhuru

Tsh.15,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni

3.

Mchezo wa Riadha (Athletics Events)

Ths. 3,000,000/=

4.

Mazoezi ya Timu (Football Training per session) Taifa

Tshs. 300,000/=

5.

Mazoezi ya timu Uwanja wa Uhuru (Football Training per session)

Ths. 200,000/=

6.

Matamasha na Maonesho (Exhibitions in open areas Parking area) Taifa

Ths. 5,000,000/=

7.

Sports Bonanza (not in the pitch) Taifa

3,000.000/=

8.

Sports Bonanza Uwanja wa Uhuru

Ths. 2,000.000/=

9.

Ziara za mafunzo,(vikundi/grouos). Mtoto/mwanafunzi /mtu mzima. N.B Gharama hizo zitahusisha ziara kwa viwanja vyote viwili (uhuru na Taifa).

Tsh.500/=
Ths.1,000/=

10.

Sherehe za Kijamii katika kumbi
(a) VIP Parking (Harusi, Sendoff. N.k.)
(b) Ukumbi Mkubwa Ground Floor
(c)Banquet Hall VIP
(d) Maeneo mengine ya wazi

Ths. 1,000.000/=
Ths. 700,000/=
Tsh. 1,400.000/=
Ths. 1,000.000/=

11.

Upigaji picha za mnato na video (harui, Mikanda ya nyimbo n.k)

Ths.200,000/=

12.

Maegesho ya magari,
VIP Parking nyakati za mchezo
Matamasha na makongamano

Ths. 5,000/=
Ths. 2,000/=

13.

Semina, Warsha, Makongamano na Mikutano;
(a) Ukumbi Mkubwa Groung Floor – watu 200
(b) Kumbi ndogo

Tsh. 1,000.000/=
Tsh.200,000/=

Angalizo

1.Gharama za huduma kuanzia namba 1 hadi 13 katika jedwali hapo juu zinahusisha gharama za usafi na ulinzi, pamoja na maandalizi ya Uwanja. (Kiambatanisho No.1)

2.Michezo yote ya kirafiki ya mpira wa miguu itatozwa gharama za awali kiasi cha Tshs. Milioni Tano (5,000,000/=). Iwapo mapato ya Serikali katika mchezo husika yatazidi kiasi tajwa hapo juu yatawasilishwa Wizarani na iwapo mapato yatakuwa chini ama sawa na kiasi tajwa hakutakuwa na madai ya ziada.

3.Michezo yote ya ligi kuu na ile ya CAF na FIFA itaendelea na utaratibu wa kawaida kwa mujibu wa makubalianio kati Serikali na TFF.

4.Gharama za huduma zinaweza kubadilika kulingana na aina ya tukio na ukubwa wake.

[QUOTE="Kijiweni, post: 9486, member: 476"] Mwana Kijiweni kama ambavyo leo tumekuja na gharama za viwanja mbalimbali vya soka hapa Tanzania na gharama zake za matumizi sasa utakua ni mmoja ya wale ambao wanatamani kufahamu endapo utataka kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa au Uwanja wa Uhuru gharama zake zikoje? Kutoka kwenye tovuti rasmi ya Wizara ya Utamaduni , Sanaa na Michezo katika chapisho lao linalopatikana hapa [URL]https://www.michezo.go.tz/pages/national-and-uhuru-stadium-services[/URL] limeelezea gahrama hizo kama ifuatavyo: [HEADING=3]Benjamin Mkapa and Uhuru Stadium Services[/HEADING] [TABLE] [TR] [TD][B]S/N[/B][/TD] [TD][B]HUDUMA[/B][/TD] [TD][B]GHARAMA[/B][/TD] [/TR] [TR] [TD]1.[/TD] [TD]Kukodisha Uwanja wa Taifa[/TD] [TD]Tshs. 20,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni[/TD] [/TR] [TR] [TD]2.[/TD] [TD]Kukodisha Uwanja wa Uhuru[/TD] [TD]Tsh.15,000.000/= au 15% ya mapato ya mlangoni[/TD] [/TR] [TR] [TD]3.[/TD] [TD]Mchezo wa Riadha (Athletics Events)[/TD] [TD]Ths. 3,000,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]4.[/TD] [TD]Mazoezi ya Timu (Football Training per session) Taifa[/TD] [TD]Tshs. 300,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]5.[/TD] [TD]Mazoezi ya timu Uwanja wa Uhuru (Football Training per session)[/TD] [TD]Ths. 200,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]6.[/TD] [TD]Matamasha na Maonesho (Exhibitions in open areas Parking area) Taifa[/TD] [TD]Ths. 5,000,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]7.[/TD] [TD]Sports Bonanza (not in the pitch) Taifa[/TD] [TD]3,000.000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]8.[/TD] [TD]Sports Bonanza Uwanja wa Uhuru[/TD] [TD]Ths. 2,000.000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]9.[/TD] [TD]Ziara za mafunzo,(vikundi/grouos). Mtoto/mwanafunzi /mtu mzima. N.B Gharama hizo zitahusisha ziara kwa viwanja vyote viwili (uhuru na Taifa).[/TD] [TD]Tsh.500/= Ths.1,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]10.[/TD] [TD]Sherehe za Kijamii katika kumbi (a) VIP Parking (Harusi, Sendoff. N.k.) (b) Ukumbi Mkubwa Ground Floor (c)Banquet Hall VIP (d) Maeneo mengine ya wazi[/TD] [TD]Ths. 1,000.000/= Ths. 700,000/= Tsh. 1,400.000/= Ths. 1,000.000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]11.[/TD] [TD]Upigaji picha za mnato na video (harui, Mikanda ya nyimbo n.k)[/TD] [TD]Ths.200,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]12.[/TD] [TD]Maegesho ya magari, VIP Parking nyakati za mchezo Matamasha na makongamano[/TD] [TD]Ths. 5,000/= Ths. 2,000/=[/TD] [/TR] [TR] [TD]13.[/TD] [TD]Semina, Warsha, Makongamano na Mikutano; (a) Ukumbi Mkubwa Groung Floor – watu 200 (b) Kumbi ndogo[/TD] [TD]Tsh. 1,000.000/= Tsh.200,000/=[/TD] [/TR] [/TABLE] [B]Angalizo[/B] 1.Gharama za huduma kuanzia namba 1 hadi 13 katika jedwali hapo juu zinahusisha gharama za usafi na ulinzi, pamoja na maandalizi ya Uwanja. (Kiambatanisho No.1) 2.Michezo yote ya kirafiki ya mpira wa miguu itatozwa gharama za awali kiasi cha Tshs. Milioni Tano (5,000,000/=). Iwapo mapato ya Serikali katika mchezo husika yatazidi kiasi tajwa hapo juu yatawasilishwa Wizarani na iwapo mapato yatakuwa chini ama sawa na kiasi tajwa hakutakuwa na madai ya ziada. 3.Michezo yote ya ligi kuu na ile ya CAF na FIFA itaendelea na utaratibu wa kawaida kwa mujibu wa makubalianio kati Serikali na TFF. 4.Gharama za huduma zinaweza kubadilika kulingana na aina ya tukio na ukubwa wake. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Gharama Za Kutumia Uwanja Wa Uhuru Na Uwanja Wa Benjamin Mkapa
Top
Bottom