Graham Potter hana Uelekeo kabisa,anazidi kuididimiza Chelsea

Feb 7, 2023
61
36
5
Chelsea leo wamepoteza tena mbele ya spurs, unakuwa mchezo wao wa 10 toka mwaka huu kuanza hawajapata ushindi.

Ni historia mbaya kwa Chelsea na sio kawaida yao pia,timu ndio ina wachezaji wapya lakini bado kocha anashindwa kuonyesha kile alichonacho.

Potter amekuja Chelsea kwa lengo la kuibadilisha timu lakini bado anazidi kuipoteza timu,toka mwezi huu umeanza Chelsea wamefunga goli moja tu hii ni aibu kubwa.

Sioni kama Potter ni mtu sahihi ndani ya project ya Chelsea chini ya boss Toddy Boehly, timu chini ya Potter haionyeshi kupambana, hawachezi kwa identity ( hawajulikani wanashambulia vipi wala wanazuia vipi wakipoteza mpira), hana Man Management ndani na nje ya uwanja kwa wachezaji.

Ni wakati sasa wa Chelsea kufanya maamuzi magumu, Potter haonyeshi mabadiliko yoyote.

#PotterOut #enoughisenough20230226_185440.jpg