Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Graham Potter hana Uelekeo kabisa,anazidi kuididimiza Chelsea
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chelsea leo wamepoteza tena mbele ya spurs, unakuwa mchezo wao wa 10 toka mwaka huu kuanza hawajapata ushindi.

Ni historia mbaya kwa Chelsea na sio kawaida yao pia,timu ndio ina wachezaji wapya lakini bado kocha anashindwa kuonyesha kile alichonacho.

Potter amekuja Chelsea kwa lengo la kuibadilisha timu lakini bado anazidi kuipoteza timu,toka mwezi huu umeanza Chelsea wamefunga goli moja tu hii ni aibu kubwa.

Sioni kama Potter ni mtu sahihi ndani ya project ya Chelsea chini ya boss Toddy Boehly, timu chini ya Potter haionyeshi kupambana, hawachezi kwa identity ( hawajulikani wanashambulia vipi wala wanazuia vipi wakipoteza mpira), hana Man Management ndani na nje ya uwanja kwa wachezaji.

Ni wakati sasa wa Chelsea kufanya maamuzi magumu, Potter haonyeshi mabadiliko yoyote.

#PotterOut #enoughisenough[ATTACH=full]1301[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3459, member: 622"] Chelsea leo wamepoteza tena mbele ya spurs, unakuwa mchezo wao wa 10 toka mwaka huu kuanza hawajapata ushindi. Ni historia mbaya kwa Chelsea na sio kawaida yao pia,timu ndio ina wachezaji wapya lakini bado kocha anashindwa kuonyesha kile alichonacho. Potter amekuja Chelsea kwa lengo la kuibadilisha timu lakini bado anazidi kuipoteza timu,toka mwezi huu umeanza Chelsea wamefunga goli moja tu hii ni aibu kubwa. Sioni kama Potter ni mtu sahihi ndani ya project ya Chelsea chini ya boss Toddy Boehly, timu chini ya Potter haionyeshi kupambana, hawachezi kwa identity ( hawajulikani wanashambulia vipi wala wanazuia vipi wakipoteza mpira), hana Man Management ndani na nje ya uwanja kwa wachezaji. Ni wakati sasa wa Chelsea kufanya maamuzi magumu, Potter haonyeshi mabadiliko yoyote. #PotterOut #enoughisenough[ATTACH type="full"]1301[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Graham Potter hana Uelekeo kabisa,anazidi kuididimiza Chelsea
Top
Bottom