Hadithi Gani Imekukosha Kijiweni 2025? Na Unatamani Kitu Gani Kiongezeke Kwenye Hadithi Za Kijiweni Mwakani?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
468
623
125
Mambo vipi mwana Kijiweni? Mwaka 2024 tumekua na hadithi mbalimbali ambazo tumezipost na mmekua mkizisoma pamoja na kutupa comments zenu lakini nikukumbushe kununua KITABU CHA KOTI JEUSI kwa Kupiga Simu au kutuma Ujumbe WhatsApp kwa namba 0760871896

FUNGATE Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/fungate-kijiweni/
NILIPANGA NYUMBA MOJA NA MAJINI Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/nyumba-ya-majini/
GORYANAH Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/goryanah/
KISASI CHANGU Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/kisasi-changu/
MSALA Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/msala/
PIGO TAKATIFU Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/pigo-takatifu/
MUNGU AMENISAHAU Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/mungu-amenisahau/
PUMZI YA MWISHO Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/pumzi-ya-mwisho/
LOVE AND PAIN Kama Hujaisoma Gusa Hapa https://www.kijiweni.co.tz/tag/love-pain/
JASUSI Kama Hujaisoma Gusa Hapa
 
Last edited:
  • Like
Reactions: Scalion

MC Bitozi

Mgeni
Dec 13, 2024
2
2
5
Kuna JASUSI na KOTI JEUSI hizi ziko poa sana, cha kuongezea......Mtunzi/watunzi wajitahidi kurefusha visa, kwa sasa tunazifurahia zimeandika kwa kubanwa sana, upelelezi haufanyiki kwa upana wake, lakini wakiandika kwa upana zaidi upelelezi ufanyike kwa kina basi tutazifurahia zaidi

NB:- WATUNZI WAJITAHIDI KUSOMA RIWAYA ZA MANGULI WA UANDISHI KUNA MENGI YA KUJIFUNZA ILI KUBORESHA ZAIDI KAZI ZAO......SIO KWA UBAYA LAKINI
 

mlagane

Mgeni
Aug 18, 2024
168
9
5
 
  • Like
Reactions: Scalion

Scalion

Mgeni
Sep 21, 2024
5
3
5
Kama koti jeusi, Jasusi goryanah
Pigo takatifu na pumzi ya mwisho akii hizi ziko bomba sana zimenikosha sana kwani ni simulizi ambazo ukizisoma unahisi ni kama maisha halisi haswa pongezi kweni watunzi

Pia tunaomba mturefushie kidogo simulizi kuna muda unakuta hiki kipande kifupi utakuta kirefu maoni yangu ndo hayo
NIITE THE POWER OF VISION