Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Haji Manara Acha Dharau Na Dhihaka Kwa Ali Kamwe , Yanga SC Imefaidika Nae 'Kibrandi' Kuliko Ulivyokuwepo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji acha kutaka Kuwadanganya Watu. Hivi Logically tu Haji Manara kuna tofauti kati ya Information Officer na Communication Manager? Tuliosoma vyema Mass Communication na Kubobea nayo hapa si tu tunakudharau ila pia tunakuona Kichwani zimekupungua.

Tofauti Kuu haya maneno Mawili ya Afisa Habari na Msemaji yanatofautiana tu ni Taasisi gani uliopo ila tunajua ukiwa katika Public Sector utaitwa Afisa Habari na ukiwa katika Private Sector utaitwa Communication Manager na Wengine huitwa Corporate Directors au Chief Communication Officer ila Kimsingi hawa Wote yale Majukumu yao Mama ni yale yale tu.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hukuwahi kupatana na Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na hata Kuongea Kwenu ni kwa Kulazimisha na kwa Kinafiki ila Kutwa mnasemana vibaya ( kupigana Majungu ) huku mkiharibiana kwa Tajiri yenu Mkuu GSM na Rais wenu Hersi.

Na kinachokuumiza sasa Haji Manara ni kuona yule Mtu ambaye Kwanza hukumtaka apewe hiyo Nafasi yako si tu kwamba ameiweza vyema hadi Pengo lako Kuzibika ila pia amekuja na Ubunifu wa Kipekee ambao kwa hali ya Sera ya Mpira Biashara ya sasa ndiyo unaotakiwa na Klabu yenye Mafanikio kwa sasa kama ya Watani zangu Yanga SC.

Kwa huku Kurejea Kwako tu ndani ya Yanga SC na kuanza haya Majungu yako naona Vita fulani inakuja mbeleni Ok?

[QUOTE="Hammy36, post: 7289, member: 617"] Haji Manara labda nikusaidie Kitaaluma Afisa Habari ndiyo huyo huyo Msemaji acha kutaka Kuwadanganya Watu. Hivi Logically tu Haji Manara kuna tofauti kati ya Information Officer na Communication Manager? Tuliosoma vyema Mass Communication na Kubobea nayo hapa si tu tunakudharau ila pia tunakuona Kichwani zimekupungua. Tofauti Kuu haya maneno Mawili ya Afisa Habari na Msemaji yanatofautiana tu ni Taasisi gani uliopo ila tunajua ukiwa katika Public Sector utaitwa Afisa Habari na ukiwa katika Private Sector utaitwa Communication Manager na Wengine huitwa Corporate Directors au Chief Communication Officer ila Kimsingi hawa Wote yale Majukumu yao Mama ni yale yale tu. Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hukuwahi kupatana na Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na hata Kuongea Kwenu ni kwa Kulazimisha na kwa Kinafiki ila Kutwa mnasemana vibaya ( kupigana Majungu ) huku mkiharibiana kwa Tajiri yenu Mkuu GSM na Rais wenu Hersi. Na kinachokuumiza sasa Haji Manara ni kuona yule Mtu ambaye Kwanza hukumtaka apewe hiyo Nafasi yako si tu kwamba ameiweza vyema hadi Pengo lako Kuzibika ila pia amekuja na Ubunifu wa Kipekee ambao kwa hali ya Sera ya Mpira Biashara ya sasa ndiyo unaotakiwa na Klabu yenye Mafanikio kwa sasa kama ya Watani zangu Yanga SC. Kwa huku Kurejea Kwako tu ndani ya Yanga SC na kuanza haya Majungu yako naona Vita fulani inakuja mbeleni Ok? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Haji Manara Acha Dharau Na Dhihaka Kwa Ali Kamwe , Yanga SC Imefaidika Nae 'Kibrandi' Kuliko Ulivyokuwepo
Top
Bottom