Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hakuna winga bora kwa sasa ndani ya ligi kuu kama Kipre jr
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Azam kwenye dirisha kubwa la usajili walifanya usajili hasa kuanzia golini mpaka mbele, walienda kule Ivory Coast na kumbeba winga fundi kipre Jr.

Jamaa anajua kukaa na mpira mguuni,kuuficha,kukokota,kupiga chenga,ana nguvu, ukitaka acheze kama orthodox au inverted winger anaweza yaan kiufupi ni complete package ya winga anavyotakiwa kuwa.

Ukiangalia kwenye ligi kuu kwa sasa bila kupepesa macho hakuna winga hatari kama kipre Jr,sio Simba wala Yanga wenye winga mwenye kariba ya kipre labda Prime Morisson ambaye na yeye week in, week out.

Kiufupi Azam wamelamba dume,Simba na Yanga wanatamani kuwa na kipre Jr lakini wakikumbuka yupo ndani ya matajiri wa jiji wanaishiwa pozi.

Kongole kwa Scouting team ya Azam,kipre Jr,Isa Ndala na James Akaminko hakika mmepata watu.[ATTACH=full]1261[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3407, member: 622"] Azam kwenye dirisha kubwa la usajili walifanya usajili hasa kuanzia golini mpaka mbele, walienda kule Ivory Coast na kumbeba winga fundi kipre Jr. Jamaa anajua kukaa na mpira mguuni,kuuficha,kukokota,kupiga chenga,ana nguvu, ukitaka acheze kama orthodox au inverted winger anaweza yaan kiufupi ni complete package ya winga anavyotakiwa kuwa. Ukiangalia kwenye ligi kuu kwa sasa bila kupepesa macho hakuna winga hatari kama kipre Jr,sio Simba wala Yanga wenye winga mwenye kariba ya kipre labda Prime Morisson ambaye na yeye week in, week out. Kiufupi Azam wamelamba dume,Simba na Yanga wanatamani kuwa na kipre Jr lakini wakikumbuka yupo ndani ya matajiri wa jiji wanaishiwa pozi. Kongole kwa Scouting team ya Azam,kipre Jr,Isa Ndala na James Akaminko hakika mmepata watu.[ATTACH type="full"]1261[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hakuna winga bora kwa sasa ndani ya ligi kuu kama Kipre jr
Top
Bottom