Halaand Jini 🙌

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Erling Halaand Amekuwa Mchezaj Wa Kwanza Kwenye Kufunga Magoli 20 Premier League Haraka Zaidi Kwenye Historia.

Erling Halaand mechi 14 âš½ 20
Kalvin Philips mechi 21 âš½ 20
Fernand Torres mechi 27 âš½ 20
Alan Shearer mechi 29 âš½ 20
Sergio Agüero mechi 30 ⚽ 20

Halaand Anashikilia pia Rekodi ya Kufunga Magoli 20 Haraka Zaidi Historia Katika Michuano ya Uefa champions league.
 

Attachments

  • IMG_20221009_064520.jpg
    IMG_20221009_064520.jpg
    355.2 KB · Somwa: 0