Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hali ya hewa nchini Tunisia inaweza kuwa kikwazo kwa Yanga?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuelekea mchezo wa jumapili wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga na wenyeji wao Us Monastir utakaopigwa kwenye mji wa Tunis, klabu ya wananchi wanategemea kupata matokeo chanya sare au ushindi.

Wakati huo hali ya hewa ya Tunisia kwa sasa ni nyuzi joto 9, maana yake ni baridi kali ndomaana Wananchi wametia kambi mapema ili kuzoea hali ya hewa hiyo.

Kumbukumbu nzuri kwa Yanga ndani ya Tunisia ni kuwaondoa Club African na kufanikiwa kufuzu hatua hii ya makundi

Licha ya ubora wa Yanga hivi sasa, hali ya hewa ya nchini humo haiwezi kuwa kikwazo kwao?

Kila la kheri Mwananchi katika mchezo wenu wa jumapili.[ATTACH=full]1190[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3249, member: 622"] Kuelekea mchezo wa jumapili wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga na wenyeji wao Us Monastir utakaopigwa kwenye mji wa Tunis, klabu ya wananchi wanategemea kupata matokeo chanya sare au ushindi. Wakati huo hali ya hewa ya Tunisia kwa sasa ni nyuzi joto 9, maana yake ni baridi kali ndomaana Wananchi wametia kambi mapema ili kuzoea hali ya hewa hiyo. Kumbukumbu nzuri kwa Yanga ndani ya Tunisia ni kuwaondoa Club African na kufanikiwa kufuzu hatua hii ya makundi Licha ya ubora wa Yanga hivi sasa, hali ya hewa ya nchini humo haiwezi kuwa kikwazo kwao? Kila la kheri Mwananchi katika mchezo wenu wa jumapili.[ATTACH type="full"]1190[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hali ya hewa nchini Tunisia inaweza kuwa kikwazo kwa Yanga?
Top
Bottom