HALLAND NI JINI

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Kwangu Halland ni Jini kuliko Mbappe ila advantags aliyonayo Mbappe ni team yake ya Taifa kuwa na nguvu kuliko Halland.

Kama Norway wangekuwa wanafuzu hata kwenye Euro, WC na Nations League. Tungezungumza mengine zaidi na zaidi. HALLAND NI JINI18ED65C3-D5D9-4D71-858D-23A45AA51552.jpeg