Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hawa Yanga wameshindikana
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hawa Yanga tusipokuwa makini watatutesa sana, huoni wapi watafungwa huoni lini watapoteza Yanga wanazidi kuwa tishio kwenye hii ligi na sasa hawachezi kushinda au point sana wanacheza kulinda unbeaten yao, timu imekosa wachezaji muhimu zaidi ya wa 4 lakini huoni pengo lao huoni uhitaji wao, tunawacheka Yanga kupoteza kimataifa ila ndo mechi zinawafanya wanakua hivi wapo sasa misimu miwili ijayo Yanga wakizidi kuimarika kimataifa sio wenzetu tena.

Sifa zao wapewe wamekua tishio sana uwezo kitimu uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kila mmoja unamwona anacheza kwa nidhamu na akili kubwa kuipambania nembo ya Yanga hii timu ina kila kitu sasa tusishangae ikatuongoza tena na tena kwenye hii ligi yetu, Simba na Azam wakishindwa kuwafunga nani nwakuwafunga mnategemea?? hii unbeaten inaweza kwenda hata mechi 70+. HESHIMA KWA YANGA KOCHA NA BENCHI ZIMA LA UFUNDI

HUYU MAYELE

[QUOTE="Nabi, post: 1843, member: 473"] Hawa Yanga tusipokuwa makini watatutesa sana, huoni wapi watafungwa huoni lini watapoteza Yanga wanazidi kuwa tishio kwenye hii ligi na sasa hawachezi kushinda au point sana wanacheza kulinda unbeaten yao, timu imekosa wachezaji muhimu zaidi ya wa 4 lakini huoni pengo lao huoni uhitaji wao, tunawacheka Yanga kupoteza kimataifa ila ndo mechi zinawafanya wanakua hivi wapo sasa misimu miwili ijayo Yanga wakizidi kuimarika kimataifa sio wenzetu tena. Sifa zao wapewe wamekua tishio sana uwezo kitimu uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kila mmoja unamwona anacheza kwa nidhamu na akili kubwa kuipambania nembo ya Yanga hii timu ina kila kitu sasa tusishangae ikatuongoza tena na tena kwenye hii ligi yetu, Simba na Azam wakishindwa kuwafunga nani nwakuwafunga mnategemea?? hii unbeaten inaweza kwenda hata mechi 70+. HESHIMA KWA YANGA KOCHA NA BENCHI ZIMA LA UFUNDI HUYU MAYELE 🙌🙌🙌🙌🙌 [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hawa Yanga wameshindikana
Top
Bottom