Haya mambo hayaπŸ˜…

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Jana nimeangalia wachezaji wa PSG wana report mazoezi nikajua Man United tuna kakikundi flani ka watu machachari na sio hatariπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mbona nimesikia tayari kocha wetu Ten Hag wale wamarekani wameishamnywesha kijiko kimoja cha dozi mbaya ambayo ndio imewaondoa makocha wengine waliopita pale Man United?