Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MKUDE KATUFUNZA

Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake.

Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini ukurasa rasmi wa Klabu ukampost yupo sana tena akiwa na kocha Miguel Gamondi pembeni yake.

TUSICHOKE mtu tusipende kuwazeesha watu, hapa tayari tulishaanza kumtengenezea njia mpya mchezaji kwamba hafai tena kusalia ndani ya Yanga na ikapelekea kumtafutia timu ilimradi tu aondoke kilazima kwa mitazamo yetu.

Tazama sasa huyu hapa ni Njano na Kijani ndani ya Yanga ni Nungunungu tena ataendelea kusalia ndani ya Yanga SC ili kuziba pengo kama ikitokea kuna shimo linavuja. Tutafika tu kwenye kuzisaka habari za uhakika tena za kina.

Kama hatuna uhakika tusitembeze habari mitandaoni kama hizo

[QUOTE="Gamondi, post: 6768, member: 2313"] MKUDE KATUFUNZA Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake. Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini ukurasa rasmi wa Klabu ukampost yupo sana tena akiwa na kocha Miguel Gamondi pembeni yake. TUSICHOKE mtu tusipende kuwazeesha watu, hapa tayari tulishaanza kumtengenezea njia mpya mchezaji kwamba hafai tena kusalia ndani ya Yanga na ikapelekea kumtafutia timu ilimradi tu aondoke kilazima kwa mitazamo yetu. Tazama sasa huyu hapa ni Njano na Kijani ndani ya Yanga ni Nungunungu tena ataendelea kusalia ndani ya Yanga SC ili kuziba pengo kama ikitokea kuna shimo linavuja. Tutafika tu kwenye kuzisaka habari za uhakika tena za kina. Kama hatuna uhakika tusitembeze habari mitandaoni kama hizo [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake
Top
Bottom