Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hili la Vunjabei Mdhamini wa Simba kuwamwagia manoti Prisons limekaaje?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wana Kijiwe

Klabu ya soka ya Tanzania Prisons imeingia mkataba wa kuzalisha vifaa vya michezo na Kampuni ya Vunjabei wenye thamani ya Sh60 milioni.

Mkataba huo uliosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Fredy Ngajiro (Vunjabei) na Kaimu Kamishna wa utawala na usimamizi wa rasilimali watu Jeshi la Magereza Jeremiah Katungu kwenye makao makuu Mkoani hapa.

Aidha licha ya uzinduzi wa jezi pia Vunjabei ameahidi kutoa vifaa vingine katika muda wa mkataba unaendelea ambao ni mwaka mmoja.

Akizungumza kilichomsukuma kufanya ufadhili huo Fredy amesema timu hiyo inajiandaa kuingia kwenye mchezo wake mkubwa wa Disemba 19 dhidi ya Yanga hivyo ni vema wakacheza na Jezi mpya kama ilivyo kwa timu nyingine ikiwa pia ni njia ya kukabiliana na ufinyu wa bajeti unaozikabili timu nyingi nchini.

“Proposal (pendekezo) lilichelewa kuja wakati msimu wa Ligi unaanza lakini kwa uzinduzi wa leo tunatarajia kwenye mchezo wa kesho mtaenda kucheza na Jezi mpya kabla ya mchezo wa Disemba 19” amesema Vunjabei

Vipi unaonaje hii ishu kwako?

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 96, member: 7"] [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3652768/landscape_ratio16x9/1160/652/6ebe27105e380bfeae103ef9e826e8cf/uW/prison-pic.jpg[/IMG] Wana Kijiwe Klabu ya soka ya Tanzania Prisons imeingia mkataba wa kuzalisha vifaa vya michezo na Kampuni ya Vunjabei wenye thamani ya Sh60 milioni. Mkataba huo uliosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Fredy Ngajiro (Vunjabei) na Kaimu Kamishna wa utawala na usimamizi wa rasilimali watu Jeshi la Magereza Jeremiah Katungu kwenye makao makuu Mkoani hapa. Aidha licha ya uzinduzi wa jezi pia Vunjabei ameahidi kutoa vifaa vingine katika muda wa mkataba unaendelea ambao ni mwaka mmoja. Akizungumza kilichomsukuma kufanya ufadhili huo Fredy amesema timu hiyo inajiandaa kuingia kwenye mchezo wake mkubwa wa Disemba 19 dhidi ya Yanga hivyo ni vema wakacheza na Jezi mpya kama ilivyo kwa timu nyingine ikiwa pia ni njia ya kukabiliana na ufinyu wa bajeti unaozikabili timu nyingi nchini. “Proposal (pendekezo) lilichelewa kuja wakati msimu wa Ligi unaanza lakini kwa uzinduzi wa leo tunatarajia kwenye mchezo wa kesho mtaenda kucheza na Jezi mpya kabla ya mchezo wa Disemba 19” amesema Vunjabei Vipi unaonaje hii ishu kwako? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hili la Vunjabei Mdhamini wa Simba kuwamwagia manoti Prisons limekaaje?
Top
Bottom