Hili sakata la Feisal na Yanga

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Ni wazi kuwa Fei hatacheza tena YANGA!! Na ile siku tulivyoshinda na Azam watu wakawa wanaimba ile Aondoke!! Ndo akaona kabisa hapa hakuna kurud nyuma!!!

Me nachoomba hapa Yanga ishikilie msimamo wake tu! Isimuachie kienyeji lazima misingi ifuate!! If possible imshikilie mpaka pale mkataba utapoishia, kama hakutakua na official approach ya team inayomhitaji!!!
Ila akiondoka hivi hivi kama alivyotangaza to be honest brand ya Yanga itadharaulika sana!!