Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hivi MANULA Si Kapona? Mbona Hayupo Na Simba Pre-Season?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BADO kesho ya golikipa Aishi Manula haieleweki ndani ya Simba Kwa kuwa mpaka Sasa hajaungana na wenzake Pre- Season inayoendelea Misri.

Taarifa zinadai kuwa, ni kama viongozi hawaoni Sababu ya kuendelea naye tena lakini hofu Yao ni Kwamba asije akaenda timu zingine ikiwemo Azam FC ambao wapo mstari wa mbele kutaka kumrejesha.

Hadi Sasa Manula ameshapona majeraha yake na yupo tayari kuitumikia klabu yake ingawa bado Kuna giza.

Mchezaji huyo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba na Simba wanajifikiria mustakabali wa Kipa huyo, kama aendelee kuwepo au wamuache akapate changamoto nyingine.

Klabu ya Azam FC inaelezwa kwamba imeiandikia barua Uongozi wa Simba kuhitaji huduma ya mlinda mlango wao Aishi Manula.

[QUOTE="Mshua, post: 6814, member: 2315"] [HEADING=3][B]BADO kesho ya golikipa [URL='https://sokalabongo.com/2024/07/ahmed-ally-afunguka-sakata-la-aishi-manula-kwenda-azam-fc.html']Aishi Manula[/URL] haieleweki ndani ya Simba Kwa kuwa mpaka Sasa hajaungana na wenzake Pre- Season inayoendelea Misri.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Taarifa zinadai kuwa, ni kama viongozi hawaoni Sababu ya kuendelea naye tena lakini hofu Yao ni Kwamba asije akaenda timu zingine ikiwemo Azam FC ambao wapo mstari wa mbele kutaka kumrejesha.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Hadi Sasa Manula ameshapona majeraha yake na yupo tayari kuitumikia klabu yake ingawa bado Kuna giza.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Mchezaji huyo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba na Simba wanajifikiria mustakabali wa Kipa huyo, kama aendelee kuwepo au wamuache akapate changamoto nyingine.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Klabu ya Azam FC inaelezwa kwamba imeiandikia barua Uongozi wa Simba kuhitaji huduma ya mlinda mlango wao Aishi Manula.[/B][/HEADING] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hivi MANULA Si Kapona? Mbona Hayupo Na Simba Pre-Season?
Top
Bottom