Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Hivi Ndivyo Ambavyo Wanatengeneza Mikeka FEKI Na Kutapeli Watu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nafikiri wengi mmekutana na boom za kutisha hasa watumiaji wa betpawa, salio linasema millions sasa nitawapa njia rahisi uone wanavyo edit hiyo mikeka hii ndio application wanayotumia kuedit mikeka, angalizo hii application inafanya kazi kwenye website kwaio kuedit kwenye app ni ngumu na haiwezekani.Hii application inabadilisha kiwango cha hela, pia maneno and everything unachotaka kibadilike inaitwa ELEMENT INSPECTOR.

[ATTACH=full]1634[/ATTACH] [ATTACH=full]1635[/ATTACH]

Hii application ni kama chrome tu, sasa ukiifungua unaserch website unayotaka kuingia then una click kushoto kama nilivyoonesha kwenye picha number 2 Ukisha click inakujia kama picha number 3. Then click editable content..

[ATTACH=full]1636[/ATTACH] [ATTACH=full]1637[/ATTACH]

Sasa ukisha click unachagua number unayotaka kuedit unaweka mambo yako sawa kama unavyoona kwenye pichaa

[ATTACH=full]1639[/ATTACH] [ATTACH=full]1640[/ATTACH]

Angalizo hii application inafanya kazi kwenye website tu na apps,

cha msingi chukua odds before match mtu asikuuzie odds kwakutumia slips za namna hiyo mfano kama hii slip uwezi gundua kama wameedit . KUWA MJANJA Odds haziuzwi

[QUOTE="Kijiweni, post: 12984, member: 476"] Nafikiri wengi mmekutana na boom za kutisha hasa watumiaji wa betpawa, salio linasema millions sasa nitawapa njia rahisi uone wanavyo edit hiyo mikeka hii ndio application wanayotumia kuedit mikeka, angalizo hii application inafanya kazi kwenye website kwaio kuedit kwenye app ni ngumu na haiwezekani.Hii application inabadilisha kiwango cha hela, pia maneno and everything unachotaka kibadilike inaitwa ELEMENT INSPECTOR. [ATTACH type="full" width="256px" alt="GdxOJnzW4AADxNF.jpg"]1634[/ATTACH] [ATTACH type="full" width="232px" alt="GdxOJr1XMAA1SV7.jpg"]1635[/ATTACH] Hii application ni kama chrome tu, sasa ukiifungua unaserch website unayotaka kuingia then una click kushoto kama nilivyoonesha kwenye picha number 2 Ukisha click inakujia kama picha number 3. Then click editable content.. [ATTACH type="full" width="218px" alt="GdxOvH1XAAAyg2F.jpg"]1636[/ATTACH] [ATTACH type="full" width="135px" alt="GdxOvLsWsAA4V5u.jpg"]1637[/ATTACH] Sasa ukisha click unachagua number unayotaka kuedit unaweka mambo yako sawa kama unavyoona kwenye pichaa [ATTACH type="full" width="167px" alt="GdxO_s1WgAA7ptI.jpg"]1639[/ATTACH] [ATTACH type="full" width="164px" alt="GdxO_xSXwAAG-25.jpg"]1640[/ATTACH] Angalizo hii application inafanya kazi kwenye website tu na apps, cha msingi chukua odds before match mtu asikuuzie odds kwakutumia slips za namna hiyo mfano kama hii slip uwezi gundua kama wameedit . [B][I]KUWA MJANJA Odds haziuzwi[/I][/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Hivi Ndivyo Ambavyo Wanatengeneza Mikeka FEKI Na Kutapeli Watu
Top
Bottom