Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hivi Ni Kweli Yanga Kiingilio Cha Elfu 5 Pia Kimewashinda?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.

Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa

Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK.

Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah

Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue

Hao ndio uto

[QUOTE="Hammy36, post: 7716, member: 617"] Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao. Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK. Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue Hao ndio uto [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hivi Ni Kweli Yanga Kiingilio Cha Elfu 5 Pia Kimewashinda?
Top
Bottom