Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hivi Pale Uwanja Benjamin Mkapa Kunafanyiwa Marekebisho Kweli? Mmeuna AMAHORO Wa Rwanda?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Gamondi" data-source="post: 9034" data-attributes="member: 2313"><p>Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia nguo n.k ni vitu vya ndani sio vitu ambavyo watazamaji waliopo uwanjani na waliopo kwenye Tv majumbani wanahitaji.</p><p>Jambo la msingi kama football pitch, bado haina mvuto! Hata ile running track bado imetifuliwa tifuliwa tu yaani kazi inaenda pole pole mno! Wakati huo fedha tayari imeshatolewa! Inashangaza! Tunazidiwa hata na wenzetu hapo Rwanda uwanja wa Amahoro ambao una ubora mkubwa mno!</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Gamondi, post: 9034, member: 2313"] Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia nguo n.k ni vitu vya ndani sio vitu ambavyo watazamaji waliopo uwanjani na waliopo kwenye Tv majumbani wanahitaji. Jambo la msingi kama football pitch, bado haina mvuto! Hata ile running track bado imetifuliwa tifuliwa tu yaani kazi inaenda pole pole mno! Wakati huo fedha tayari imeshatolewa! Inashangaza! Tunazidiwa hata na wenzetu hapo Rwanda uwanja wa Amahoro ambao una ubora mkubwa mno! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Hivi Pale Uwanja Benjamin Mkapa Kunafanyiwa Marekebisho Kweli? Mmeuna AMAHORO Wa Rwanda?
Top
Bottom