Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Fadlu Davids ambaye amekuwa na sifa nzuri katika coaching yake kwa timu alizowahi kuzifundisha akiwa Head Coach, Assistant Manager.

Tuangalie sifa zake za ufundishaji 1: POSSESSION BASED – Huyu anapenda sana kucheza one touch football ambapo wachezaji huchukua nafasi na kuunda faida ya namba uwanjani kwenye nyakati mbili muhimu attacking and defending, na pattern huonekana kwa pembetatu au almasi kwa lugha nyepesi anapenda kucheza pira biriani (position play).

2: A GOOD LEADER (COACH) – Huyu ni Kocha ambaye ambaye anajua kucoach wachezaji vizuri na pia ni kiongozi bora sana kwa wachezaji wake ndani na nje ya uwanja ,unaweza kuwa Kocha mzuri kiufundi lakini usiwe kiongozi bora ila Fadlu Davids anakupa faida ya vitu hivyo viwili kwa pamoja.

Fadlu Davids (43) anaweza kuorganize timu kwa ustadi mzuri sana, na competent sana why? Amefanya kazi zake katika vilabu vya Maritzburg United, B. Fontein Celtic, Chippa United, Loko Moscow, Orlando Pirates, Raja Casablanca amezicoach hivi vilabu kuna timu zingine.

akiwa (Head Coach, Assistant Manager) Kitu ambacho huwa anapenda sana kwa Kocha Fadlu Davids ni kuwa na wachezaji ambao wapo possession based ili kushindania mipambano yake kwa ustadi wa hali ya juu, na formation yake pendwa ni 4-2-3-1.

4-2-3-1 pia havutiwi na wachezaji ambao wapo vertical style maana yake katika falsafa zake hawatokuwa wafanisi KWA MAANA HIYO SIONI SABABU KWANINI ASHINDWE KUFUNDISHA TIMU: KUIMARISHA AU KUBORESHA TIMU, NI KOCHA MWENYE CHARISMA BORA SANA.

[QUOTE="Hammy36, post: 6402, member: 617"] Kocha Fadlu Davids ambaye amekuwa na sifa nzuri katika coaching yake kwa timu alizowahi kuzifundisha akiwa Head Coach, Assistant Manager. Tuangalie sifa zake za ufundishaji 1: POSSESSION BASED – Huyu anapenda sana kucheza one touch football ambapo wachezaji huchukua nafasi na kuunda faida ya namba uwanjani kwenye nyakati mbili muhimu attacking and defending, na pattern huonekana kwa pembetatu au almasi kwa lugha nyepesi anapenda kucheza pira biriani (position play). 2: A GOOD LEADER (COACH) – Huyu ni Kocha ambaye ambaye anajua kucoach wachezaji vizuri na pia ni kiongozi bora sana kwa wachezaji wake ndani na nje ya uwanja ,unaweza kuwa Kocha mzuri kiufundi lakini usiwe kiongozi bora ila Fadlu Davids anakupa faida ya vitu hivyo viwili kwa pamoja. Fadlu Davids (43) anaweza kuorganize timu kwa ustadi mzuri sana, na competent sana why? Amefanya kazi zake katika vilabu vya Maritzburg United, B. Fontein Celtic, Chippa United, Loko Moscow, Orlando Pirates, Raja Casablanca amezicoach hivi vilabu kuna timu zingine. akiwa (Head Coach, Assistant Manager) Kitu ambacho huwa anapenda sana kwa Kocha Fadlu Davids ni kuwa na wachezaji ambao wapo possession based ili kushindania mipambano yake kwa ustadi wa hali ya juu, na formation yake pendwa ni 4-2-3-1. 4-2-3-1 pia havutiwi na wachezaji ambao wapo vertical style maana yake katika falsafa zake hawatokuwa wafanisi KWA MAANA HIYO SIONI SABABU KWANINI ASHINDWE KUFUNDISHA TIMU: KUIMARISHA AU KUBORESHA TIMU, NI KOCHA MWENYE CHARISMA BORA SANA. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC
Top
Bottom