IFAHAMU BIASHARA YA NFTS.

mhindi

Mgeni
Nov 29, 2021
17
6
5
Tanzania
Uzi huu uliandikwa na Dollar Musk kwenye ukurasa wake wa twitter hapa > https://twitter.com/nftsknowledge

Nfts maana yake ni? Ni Mali za kidigitali inaweza kuwa nyumba, gari, club, office, au kazi za Sanaa kama muziki, video na zinginezo zinakuwa zimeunganishwa na Blockchain technology. Mradi wa kwanza wa NFT ulizinduliwa mnamo mwaka 2015 kwenye Blockchain ya Ethereum, na mwaka 2021 ilivunja rekodi ya mauzo ya biashara hii Hadi kufikia dollar billioni 2 katika robo ya mwaka kama 20% ukilinganisha na robo ya mwaka 2020. kifufupi NFTs ni kama interface ya WEB3, DEFI, CRYPTO GAMING, na METAVERSE.

How I turn 4m to 40m Nilianza kwa kutafuta NFTs za Bure zinajulikana kama giveaway na nikaona napoteza mda nikaanza kufanya minting na kutafuta whitelist ya project from scratch kupitia platform ya Twitter, Tiktok na rarity.tool kitu kikubwa kwenye NFTs ni kufanya research ya project zinazoanza kama mtaji wako ni mdogo na sio project ambazo ziko tayari kwenye platform kama http://opensia.io, http://solanart.io na zinginezo, na unazipata kwa kuwafollow watu sahihi kwenye platform ya twitter na tiktok hizi zinatosha dont complicate it easy. vitu vya kuangalia kabla hujanunua any NFTs 1. Community(ina followers wangapi twiter na discord) 2. Artist (ni nani aliyeianzisha jee kuna mtu famous ndani yake)

3. The project (wana give away, watachoma NFTs, minting price, quantity, quality sio muhimu sana) 4. Roadmap, (wana Promise gani ya kuendeleza project kwa miaka mingi mfano BAYC) 5. Activeness (social interacton, space) kikubwa zaidi we buy TREND and sell it before it drop or keep it for gains. Iko hivi project nyingi utakazo kutananazo 95% those project will fail so make sure you buy and hold only goods project as much as you can zingine bora kuziuza maana hazina maana hapo mbeleni mfano Pepsi juzi kati wamekuja na NFTs zao walizitoa Bure gharama ilikuwa nikulipa gas fee nililipa kiasi cha kama 203,450 gas fee lakini mpaka sasa inazaidi 3m per NFT na project kama Hizi ndo huwa zinafanya watu kuwa mabilionaire kama utakaa Nazo kwa mda flani bila kuuza.

Vikwazo vipo kila biashara ila hivi havikwepeki. 1. Unahitaji ujue kingereza itakurahisishia mda iwe pamoja na lugha za NFTs mfano WAGMI, GM, DYOR, IDK, FYI, na mengineyo. 2. Gas fee, hii huwa ni fee ya kufanya transaction huwa inapanda sometime kuzidi hata unachonunua kwa hiyo usishtuke kuna namna ya kuzikwepa hiyo ni thread nyingine 3. Delays, sometime ni internet ila mara nyingi ni system zenyewe unaweza tuma hela ikachukua 6 to 12 hours kufika don't panic
4. Inahitaji ujue mda wa kimataifa mtu akisema GMT au UTC uweze kubadili kuja katika mda wa Tanzania ili usimiss project in launching time
5. Inatakiwa ujue kutumia discord server Iko hivi inaweza kuwa sio leo au kesho ila kila binadamu atamiliki crypto because Metaverse is the revolutionary of the future working, so in order to interact you will need to have an avatar ambayo ni NFTs na crypto as a form of transaction na tuko mapema Sana hiki kipindi ni kama kipindi kile internet inagundulika na watakao chukua hatua mapema ndio watakao nufaika for the long term.

Kwa sababu coin zote I mean stable coin zinaenda kupanda thamani na ikifika mda wake hazitapanda maana kila mtu atakuwa anazo na biashara itabadilika na kwenda kwenye gigs(what can you do to get paid) so ni vizuri chukua mda wako soma hii kitu inaiitwa Metaverse na fursa zake unaweza usifanye hata biashara hii ya NFTs na ukaja na bonge la business lakitofauti na kama una swali naomba uliza nitakujibu mkiitaji na discord account yetu ya kueleweshana na kupeana projects kali za kila siku Niko tayari. Kwenye bio yangu kuna tools zitakusaidia pa kuanzia usiache kutembelea. Ziwezi kutoa elimu yote kwa Mara Moja ila maswali yenu yatanifanya Nije na mada zaidi ila tusifanye kejeli kama unahisi unatapeliwa kaa pembeni kama unataka kujifunza your welcomed. shukrani kama umenielewa Nina mipango mizuri Sana na followers wangu hebu tag someone, retweet, follow me in 2022 we are all going to be millionaires. Happy Christmas and Happy New year
Folded hands
Folded hands
Folded hands