Ila waarabu bana

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Mwana mfalme Mohammed bin Salman wa Saudia amempongeza Mfalme Mohamed wa Morocco kwa nchi yake kutinga nusu fainali ya kombe la Dunia, Mohammed amesema mafanikio ya timu ya taifa ya ya Morocco ni fahari na furaha kwa nchi za Kiarabu.

Mfalme Mohamed amemshukuru Mwana mfalme wa Saudia kwa simu yake ya pongezi ya kuwa nchi ya kwanza ya Afrika na Kiarabu katika historia ya kombe la Dunia kufika nusu fainali.
 
  • Like
Reactions: kamakawa