Je Unafahama Leo Goli Wa Spain Iker Casilass Atakuwepo Kwenye Fainali Hii Kwa Sababu Gani..!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Kikawaida Inapofika Siku Ya Mechi Ya Fainali Katika Kombe La Dunia Huwa Kombe Linapelekwa Uwanjani Na Nahidha Wa Nchi Iliokuwa Inashikilia Ubingwa.

2010 Alipeleka Fabio Canavvaro
2014 Alipeleka Casilass
2016 Alipeleka Philip Lahm

Mwaka Huu Alitakiwa Kupeleka Hugo Lloris Sasa Kwa Nchi Yake Ndio Imeingia Fainali Mara Mbili Mfululizo Hii Ndoo Leo Italetwa Na Nani..??
Jibu Ni Iker Casilass..!
 
  • Like
Reactions: Rashidi and Kriss