Je,unafahamu ni kwanini ni ngumu kumpokonya Mpira Lionel Messi wakati anakokota Mpira (DRIBBLING)?.

Feb 7, 2023
61
36
5
Moja ya wachezaji hatari dunia Lionel Messi ametajwa kama ni mchezaji msumbufu na mgumu hasa wakati anakokota mpira.
Wengine ni pamoja na Benardo Silva,Grealish, Eden Hazard n.k.
Ni ngumu Sana kuwapokonya Mpira wachezaj hao,Sababu Moja ni Angle ya Dribbling yao wana Dribble wakiufanya mpira kama Centre point(Kwenye picha)
Movements zinakuwa Nyepesi kufanyika na hata Guarding.
Ndomaana ni rahisi wao ku adapt kwenye Midfield.
Unlike kama Wachezaj kama Mahrez, Sancho, Rashford, Antony, Raphina ambao kwenye Dribbling yao Wana fanya Mwili kuwa center point hence wanakuwa predictable kwenye Dribbling angle zao, ni rahisi kuwakaba wakiwa na Mpira.
Ndo maana inakuwa ngumu wao ku adapt Midfield roles.
 

Attachments

  • 20230208_144509.jpg
    20230208_144509.jpg
    35.9 KB · Somwa: 1
  • 20230208_150451.jpg
    20230208_150451.jpg
    31.8 KB · Somwa: 1
  • Like
Reactions: McRay