Je, Wajua kuhusu Griezmann na Uzao wake?

Feb 7, 2023
61
36
5
Nyota wa Atletico Madrid Antonio Griezmann ana watoto watatu,lakini kitu cha kushangaza ni watoto wake wote watatu wamezaliwa tarehe na mwezi unaofanana.

👶 8th April 2016
👶 8th April 2019
👶 8th April 2021
20230214_184333.jpg