Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Jeshi la Simba lililobeba matumaini ya Wanasimba hadharani
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka jioni ya leo kuelekea nchini Uganda kwa ajili ya mchezo wao wa raundi ya tatu dhidi ya Vipers.

Simba kwenye kundi lao mpaka sasa hawana alama yoyote kwenye michezo miwili waliyocheza,wakifungwa yote huku wakiwa hawajafunga goli.

Hivyo matarajio ya wanasimba wengi ni kupata ushindi wao wa kwanza dhidi ya Vipers ili kurudisha matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Kikosi cha wachezaji 24 tayari kishatangazwa, na timu inatarajiwa kuondoka leo saa 10 jioni.

Ushindi wa Simba dhidi ya Vipers ugenini utaleta matumaini kwao kuelekea mchezo wa marudiano tarehe 7,March.

Je, bado unaiona nafasi ya Simba kufuzu kwenye kundi C?[ATTACH=full]1266[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3413, member: 622"] Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka jioni ya leo kuelekea nchini Uganda kwa ajili ya mchezo wao wa raundi ya tatu dhidi ya Vipers. Simba kwenye kundi lao mpaka sasa hawana alama yoyote kwenye michezo miwili waliyocheza,wakifungwa yote huku wakiwa hawajafunga goli. Hivyo matarajio ya wanasimba wengi ni kupata ushindi wao wa kwanza dhidi ya Vipers ili kurudisha matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali. Kikosi cha wachezaji 24 tayari kishatangazwa, na timu inatarajiwa kuondoka leo saa 10 jioni. Ushindi wa Simba dhidi ya Vipers ugenini utaleta matumaini kwao kuelekea mchezo wa marudiano tarehe 7,March. Je, bado unaiona nafasi ya Simba kufuzu kwenye kundi C?[ATTACH type="full"]1266[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Jeshi la Simba lililobeba matumaini ya Wanasimba hadharani
Top
Bottom