Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Jezi za Simba bado Pasua kichwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwa mara nyingine tena Simba kupitia msambazaji wao wa jezi na vifaa mbalimbali vya klabu hiyo Vunja bei wanakwama kuleta jezi kwa wakati.

Wakati wanazindua jezi kwa mara ya kwanza pale Rotana walisema jezi kwa ajili ya mashabiki zitaingia nchini na kuanza kuuzwa rasmi tarehe 15 mwezi huu,lakini leo wanakuja na taarifa kuwa jezi zimekwama Ethiopia.

Unajiuliza hawakufahamu utaratibu wa kusafirisha hizo jezi kwa ndege ukoje?, au hawakufahamu kama kuna mwaka wa Sungura huko China ambapo wachina wote wanasherekea?

Vunjabei anawakosea sana wanasimba katika suala la jezi, ameshindwa kujifunza kutokana na makosa ambayo aliyafanya mwanzoni mwa msimu huu.

Simba ni brand kubwa kwa sasa wahitaji vitu vyao viende kwa wakati kama vilivyopangwa.

[ATTACH=full]1220[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3325, member: 622"] Kwa mara nyingine tena Simba kupitia msambazaji wao wa jezi na vifaa mbalimbali vya klabu hiyo Vunja bei wanakwama kuleta jezi kwa wakati. Wakati wanazindua jezi kwa mara ya kwanza pale Rotana walisema jezi kwa ajili ya mashabiki zitaingia nchini na kuanza kuuzwa rasmi tarehe 15 mwezi huu,lakini leo wanakuja na taarifa kuwa jezi zimekwama Ethiopia. Unajiuliza hawakufahamu utaratibu wa kusafirisha hizo jezi kwa ndege ukoje?, au hawakufahamu kama kuna mwaka wa Sungura huko China ambapo wachina wote wanasherekea? Vunjabei anawakosea sana wanasimba katika suala la jezi, ameshindwa kujifunza kutokana na makosa ambayo aliyafanya mwanzoni mwa msimu huu. Simba ni brand kubwa kwa sasa wahitaji vitu vyao viende kwa wakati kama vilivyopangwa. [ATTACH type="full"]1220[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Jezi za Simba bado Pasua kichwa
Top
Bottom