Joel Matip kurejea Cameroon?

Mkwavinyika

Administrator
Staff member
Dec 2, 2021
49
9
26
Dar es Salaam
🇨🇲
Beki wa kati wa Liverpool Joel Matip anafikiria kurejea katika Timu ya Taifa ya Cameroon.

Maamuzi ya mlinzi huyo ni baada ya Samuel Eto'o kushinda kiti cha Urais wa shirikisho la soka nchini humo FECAFOOT
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali kutoka Cameroon, wachezaji wengi huenda wakaamua kuitumikia timu hiyo hasa wale wenye uraia wa nchi mbili kutokana na ushawishi wa nyota huyo wa zamani wa Fc Barcelona

266946059_4867292916663953_1409828584711282406_n.jpg