
Maamuzi ya mlinzi huyo ni baada ya Samuel Eto'o kushinda kiti cha Urais wa shirikisho la soka nchini humo FECAFOOT
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali kutoka Cameroon, wachezaji wengi huenda wakaamua kuitumikia timu hiyo hasa wale wenye uraia wa nchi mbili kutokana na ushawishi wa nyota huyo wa zamani wa Fc Barcelona
